Subscribe Us

Praise and Worship Team E.A.G.T-Kibaoni singida

Hii ni team ya kusifu na Kuabudu ambayo inapatikana katika kanisa la E.A.G.T kibaoni -Singida mjini.

RATIBA ZA IBADA KATIKA LA E.A.G.T KIBAONI -SINGIDA

1.Jumatatu -Praise team {mazoezi}-Vijana 2.Jumanne -Ibada ya wamama {WWI} 3.Jumatano -Ibada ya mafundisho ya biblia {BIBLE STUDY}4.Alhamisi-Kwaya mazoezi 5.Ijumaa -Maombi na maombezi 6. jumamosi -Mazoezi kwa waimbaji 7.Jumapili saa2:30am -9:00am -MAombi ,Saa 9:ooam -10:00am Shule ya Jumapili {SUNDAY SCHOOL},Saa 10:00am -6:30 pm

IBADA ZA MIKUTANO YA NYUMBA KWA NYUMBA

Kanisa la E.A.G T -Kibaoni limeanzisha mpango wa kuwa na ibada za Nyumba kwa Nyumba ambazo zinafanyika Kila wiki ya pili na wiki ya Tatu (3) ya kila Mwezi.
Mtumishi kama utapata kibali usiache kufika Mungu akubariki.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.

Wednesday, March 31, 2021

TAMASHA KUBWA LA KUSIFU NA KUABUDU

PRAISE TEAM EAGT KIBAONI tulikuwa na jambo letu tarehe 28/03/2021. Tunamshukuru MUNGU kwa kuwa pamoja nasi katika tamasha hili kubwa la kusifu na kuabudu!! Mungu awabariki sana wote walioshirikiana nasi kwenye huu utumishi. Tamasha lijalo ni tarehe 25/04/2021 tunawakaribisha sana tumwabudu MUNGU katika roho na kweli.


 

TANGAZO LA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU FEB.28

 Tamasha kubwa la kusifu &kuabudu ambalo lilifanyika katika kanisa la E.A.G.T KIBAONI -Singida